ٱلَّذِينَ يَخْشَوْنَ رَبَّهُم بِٱلْغَيْبِ وَهُم مِّنَ ٱلسَّاعَةِ مُشْفِقُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmbao wanamhofu Mola wao Mlezi faraghani, na wanaiogopa Saa ya Kiyama.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmbao wanamkhofu Mola wao Mlezi faraghani, na wanaiogopa Saa ya Kiyama.