caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 50

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:50

وَهَٰذَا ذِكْرٌ مُّبَارَكٌ أَنزَلْنَٰهُ أَفَأَنتُمْ لَهُۥ مُنكِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa haya ni makumbusho yaliyobarikiwa, tuliyoyateremsha. Basi je! Mnayakataa?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa haya ni makumbusho yaliyo barikiwa, tuliyo yateremsha. Basi je! Mnayakataa?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70