وَمَآ أَعْجَلَكَ عَن قَوْمِكَ يَٰمُوسَىٰ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa nini kilichokutia haraka ukawaacha watu wako, ewe Musa?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa nini kilicho kutia haraka ukawaacha watu wako, ewe Musa?