caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 82

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:82

وَإِنِّى لَغَفَّارٌ لِّمَن تَابَ وَءَامَنَ وَعَمِلَ صَٰلِحًا ثُمَّ ٱهْتَدَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika Mimi ni Mwingi wa kusamehe kwa anayetubia, na akaamini, na akatenda mema, kisha akaongoka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika Mimi ni Mwingi wa Kusamehe kwa anaye tubia, na akaamini, na akatenda mema, tena akaongoka.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70