caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 84

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:84

قَالَ هُمْ أُو۟لَآءِ عَلَىٰٓ أَثَرِى وَعَجِلْتُ إِلَيْكَ رَبِّ لِتَرْضَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Hao wapo nyuma yangu wananifuata. Na nimefanya haraka kukujia, Mola wangu Mlezi, ili uridhike.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Hao wapo nyuma yangu wananifuatia. Na nimefanya haraka kukujia, Mola wangu Mlezi, ili uridhike.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70