caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 84

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:84

فَلَا تَعْجَلْ عَلَيْهِمْ إِنَّمَا نَعُدُّ لَهُمْ عَدًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi usiwafanyie haraka. Sisi tunawahesabia idadi ya siku zao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi usiwafanyie haraka. Sisi tunawahisabia idadi ya siku zao.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70