caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 83

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:83

أَلَمْ تَرَ أَنَّآ أَرْسَلْنَا ٱلشَّيَٰطِينَ عَلَى ٱلْكَٰفِرِينَ تَؤُزُّهُمْ أَزًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwani huoni ya kwamba tuliwatuma mashetani kwa makafiri wawachochee sawasawa?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70