caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 53

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:53

وَوَهَبْنَا لَهُۥ مِن رَّحْمَتِنَآ أَخَاهُ هَٰرُونَ نَبِيًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNasi kwa rehema zetu tukamtunuku kakaye, Harun, awe Nabii.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNasi kwa rehema zetu tukampa nduguye, Harun, awe Nabii.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70