وَنَٰدَيْنَٰهُ مِن جَانِبِ ٱلطُّورِ ٱلْأَيْمَنِ وَقَرَّبْنَٰهُ نَجِيًّا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tulimwitia upande wa kulia wa mlima na tukamsogeza kunong'ona naye.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tulimwita upande wa kulia wa mlima na tukamsogeza kunong'ona naye.