caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Kahf, Aya 68

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 69 · 18:68

وَكَيْفَ تَصْبِرُ عَلَىٰ مَا لَمْ تُحِطْ بِهِۦ خُبْرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa utawezaje kuvumilia yale usiyoyajua vilivyo undani wake?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa utawezaje kuvumilia yale usiyo yajua vilivyo undani wake?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70