caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Kahf, Aya 69

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 69 · 18:69

قَالَ سَتَجِدُنِىٓ إِن شَآءَ ٱللَّهُ صَابِرًا وَلَآ أَعْصِى لَكَ أَمْرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: In shaa Allah (Mwenyezi Mungu akitaka), utanikuta mvumilivu, wala sitaasi amri yako yoyote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Inshaallah, Mwenyezi Mungu akipenda, utaniona mvumilivu, wala sitoasi amri yako.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70