قَالَ إِنَّكَ لَن تَسْتَطِيعَ مَعِىَ صَبْرًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Hakika wewe hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Hakika wewe hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami.