caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 55

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:55

قَالُوا۟ بَشَّرْنَٰكَ بِٱلْحَقِّ فَلَا تَكُن مِّنَ ٱلْقَٰنِطِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Tunakubashiria kwa haki, basi usiwe miongoni mwa wanaokata tamaa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Tunakubashiria kwa haki; basi usiwe miongoni mwa wanaokata tamaa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70