قَالَ وَمَن يَقْنَطُ مِن رَّحْمَةِ رَبِّهِۦٓ إِلَّا ٱلضَّآلُّونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Na ni nani anayekata tamaa na rehema ya Mola wake Mlezi isipokuwa wapotovu?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Na nani anaye kata tamaa na rehema ya Mola wake Mlezi ila wale walio potea?