قَالَ أَبَشَّرْتُمُونِى عَلَىٰٓ أَن مَّسَّنِىَ ٱلْكِبَرُ فَبِمَ تُبَشِّرُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Mnanibashiria nami uzee umenishika! Basi ni kwa njia gani mnanibashiria?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Mnanibashiria nami uzee umenishika! Basi kwa njia gani mnanibashiria?