caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 48

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:48

لَا يَمَسُّهُمْ فِيهَا نَصَبٌ وَمَا هُم مِّنْهَا بِمُخْرَجِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHumo hayatawagusa machovu, wala hawatatolewa humo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHumo hayatawagusa machofu, wala hawatatolewa humo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70