caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 49

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:49

نَبِّئْ عِبَادِىٓ أَنِّىٓ أَنَا ٱلْغَفُورُ ٱلرَّحِيمُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWape habari waja wangu ya kwamba Mimi ndiye Mwenye kusamehe zaidi, Mwingi wa kurehemu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWaambie waja wangu ya kwamba Mimi ndiye Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70