caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 47

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:47

وَنَزَعْنَا مَا فِى صُدُورِهِم مِّنْ غِلٍّ إِخْوَٰنًا عَلَىٰ سُرُرٍ مُّتَقَٰبِلِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tutaondoa chuki iliyokuwa vifuani mwao, wawe ndugu, juu ya viti vya kifahari huku wameelekeana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tutaondoa chuki iliyo kuwamo vifuani mwao, wawe ndugu juu ya viti vya enzi wameelekeana.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70