caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 4

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:4

وَمَآ أَهْلَكْنَا مِن قَرْيَةٍ إِلَّا وَلَهَا كِتَابٌ مَّعْلُومٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hatukuuangamiza mji wowote ule isipokuwa ulikuwa na muda wake maalumu ulioandikiwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hatukuuangamiza mji wowote ule ila ulikuwa na muda wake maalumu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70