caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 3

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:3

ذَرْهُمْ يَأْكُلُوا۟ وَيَتَمَتَّعُوا۟ وَيُلْهِهِمُ ٱلْأَمَلُ فَسَوْفَ يَعْلَمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWaache wale, na wastarehe, na yawazuge matumaini. Basi watakujajua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWaache wale, na wastarehe, na iwazuge tamaa. Watakuja jua.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70