caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 5

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:5

مَّا تَسْبِقُ مِنْ أُمَّةٍ أَجَلَهَا وَمَا يَسْتَـْٔخِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHawawezi umma wowote kuutangulia muda wao, wala kuchelewa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHawawezi watu wowote kuitangulia ajali yao, wala kuchelewa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70