caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 2

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:2

رُّبَمَا يَوَدُّ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ لَوْ كَانُوا۟ مُسْلِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHuenda ikawa wale waliokufuru wakatamani kwamba wangekuwa Waislamu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHUENDA ikawa walio kufuru wakatamani wange kuwa Waislamu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70