caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 1

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:1

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ الٓر تِلْكَ ءَايَٰتُ ٱلْكِتَٰبِ وَقُرْءَانٍ مُّبِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAlif Lam Ra.[1] Hizi ni Aya za Kitabu na Qur-ani inayobainisha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAlif Lam Ra. (A.L.R). Hizi ni Aya za Kitabu na Qur'ani inayo bainisha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70