caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shams, Aya 8

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 26 · 91:8

فَأَلْهَمَهَا فُجُورَهَا وَتَقْوَىٰهَا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKisha akaifahamisha uovu wake na wema wake.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKisha akaifahamisha uovu wake na wema wake!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70