فَلَمَّآ ءَاتَىٰهُم مِّن فَضْلِهِۦ بَخِلُوا۟ بِهِۦ وَتَوَلَّوا۟ وَّهُم مُّعْرِضُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi alipowapa katika fadhila yake, wakaifanyia ubahili na wakageuka hali ya kuwa wamepeana mgongo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAlipo wapa katika fadhila yake wakaifanyia ubakhili na wakageuka, na huku wakipuuza.