إِن تُصِبْكَ حَسَنَةٌ تَسُؤْهُمْ وَإِن تُصِبْكَ مُصِيبَةٌ يَقُولُوا۟ قَدْ أَخَذْنَآ أَمْرَنَا مِن قَبْلُ وَيَتَوَلَّوا۟ وَّهُمْ فَرِحُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterLikikupata zuri, linawawia baya. Na ukikusibu msiba, wanasema: 'Sisi hakika tuliangalia mambo yetu vizuri tangu zamani.' Na wanageuka kwenda zao hali ya kuwa wamefurahi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniUkikupata wema unawachukiza, na ukikusibu msiba, wao husema: Sisi tuliangalia mambo yetu vizuri tangu kwanza. Na hugeuka kwenda zao nao wamefurahi.