caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura At-Tawba, Aya 49

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 113 · 9:49

وَمِنْهُم مَّن يَقُولُ ٱئْذَن لِّى وَلَا تَفْتِنِّىٓ أَلَا فِى ٱلْفِتْنَةِ سَقَطُوا۟ وَإِنَّ جَهَنَّمَ لَمُحِيطَةٌۢ بِٱلْكَٰفِرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa miongoni mwao wapo wanaosema: 'Niruhusu wala usinitie majaribuni.' Kwa yakini wao hivyo wamekwishatumbukia katika majaribu. Na hakika Jahannam imewazingira makafiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa miongoni mwao wapo wanao sema: Niruhusu wala usinitie katika fitina. Kwa yakini wao hivyo wamekwisha tumbukia katika fitina. Na hakika Jahannamu imewazunguka.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70