caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura At-Tawba, Aya 10

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 113 · 9:10

لَا يَرْقُبُونَ فِى مُؤْمِنٍ إِلًّا وَلَا ذِمَّةً وَأُو۟لَٰٓئِكَ هُمُ ٱلْمُعْتَدُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHawachungi kwa Muumini udugu wala ahadi. Basi hao ndio wapindukiao mipaka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHawatazami kwa Muumini udugu wala ahadi; basi hao ndio warukao mipaka.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70