caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Insaan, Aya 4

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 98 · 76:4

إِنَّآ أَعْتَدْنَا لِلْكَٰفِرِينَ سَلَٰسِلَا۟ وَأَغْلَٰلًا وَسَعِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Sisi tumewaandalia makafiri minyororo na pingu na Moto mkali.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika HaSisi tumewaandalia makafiri minyororo na pingu na Moto mkali.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70