caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Insaan, Aya 3

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 98 · 76:3

إِنَّا هَدَيْنَٰهُ ٱلسَّبِيلَ إِمَّا شَاكِرًا وَإِمَّا كَفُورًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Sisi tumembainishia Njia. Ama ni mwenye kushukuru, au mwenye kukufuru.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Sisi tumembainishia Njia. Ama ni mwenye kushukuru, au mwenye kukufuru.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70