إِنَّ ٱلْأَبْرَارَ يَشْرَبُونَ مِن كَأْسٍ كَانَ مِزَاجُهَا كَافُورًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika watu wema watakunywa katika vinywaji vilivyochanganyika na kafuri
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika watu wema watakunywa katika vinywaji vilivyo changanyika na kafuri!