caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Insaan, Aya 24

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 98 · 76:24

فَٱصْبِرْ لِحُكْمِ رَبِّكَ وَلَا تُطِعْ مِنْهُمْ ءَاثِمًا أَوْ كَفُورًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi ngojea hukumu ya Mola wako Mlezi wala usimtii miongoni mwao mwenye dhambi au mwenye kufuru.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi ngojea hukumu ya Mola wako Mlezi wala usimt'ii miongoni mwao mwenye dhambi au mwenye kufuru.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70