caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Insaan, Aya 12

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 98 · 76:12

وَجَزَىٰهُم بِمَا صَبَرُوا۟ جَنَّةً وَحَرِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa atawalipa Bustani za mbinguni na maguo ya hariri kwa vile walivyosubiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa atawajazi Bustani za Peponi na maguo ya hariri kwa vile walivyo subiri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70