caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Insaan, Aya 11

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 98 · 76:11

فَوَقَىٰهُمُ ٱللَّهُ شَرَّ ذَٰلِكَ ٱلْيَوْمِ وَلَقَّىٰهُمْ نَضْرَةً وَسُرُورًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi Mwenyezi Mungu atawalinda kutokana na shari ya siku hiyo, na atawakutanisha na raha na furaha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi Mwenyezi Mungu atwalinda na shari ya siku hiyo, na atawakutanisha na raha na furaha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70