مُّتَّكِـِٔينَ فِيهَا عَلَى ٱلْأَرَآئِكِ لَا يَرَوْنَ فِيهَا شَمْسًا وَلَا زَمْهَرِيرًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHumo wataegemea juu ya viti vya enzi, hawataona humo jua kali wala baridi kali.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHumo wataegemea juu ya viti vya enzi, hawataona humo jua kali wala baridi kali.