caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muzzammil, Aya 18

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 3 · 73:18

ٱلسَّمَآءُ مُنفَطِرٌۢ بِهِۦ كَانَ وَعْدُهُۥ مَفْعُولًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHapo mbingu zitapasuka kwa sababu yake! Ahadi yake itakuwa imetekelezwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHapo mbingu zitapasuka! Ahadi yake itakuwa imetekelezwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70