caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muzzammil, Aya 17

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 3 · 73:17

فَكَيْفَ تَتَّقُونَ إِن كَفَرْتُمْ يَوْمًا يَجْعَلُ ٱلْوِلْدَٰنَ شِيبًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi nyinyi mkikufuru, mtawezaje kujikinga na Siku ambayo itawafanya watoto wadogo waote mvi?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi nyinyi mkikufuru, mtawezaje kujikinga na Siku ambayo itawafanya watoto wadogo waote mvi?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70