caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muzzammil, Aya 11

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 3 · 73:11

وَذَرْنِى وَٱلْمُكَذِّبِينَ أُو۟لِى ٱلنَّعْمَةِ وَمَهِّلْهُمْ قَلِيلًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa niache Mimi na hao wanaokanusha, walioneemeka; na wape muhula kidogo!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa niache Mimi na hao wanao kanusha, walio neemeka; na wape muhula kidogo!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70