إِنَّ لَدَيْنَآ أَنكَالًا وَجَحِيمًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Sisi tunazo pingu nzito na Moto unaowaka kwa ukali kabisa!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Sisi tunazo pingu nzito na Moto unao waka kwa ukali kabisa!