caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Jinn, Aya 21

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 40 · 72:21

قُلْ إِنِّى لَآ أَمْلِكُ لَكُمْ ضَرًّا وَلَا رَشَدًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Mimi sina mamlaka ya kukudhuruni wala kukuongozeni.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Mimi sina mamlaka ya kukudhuruni wala kukuongozeni.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70