caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Nooh, Aya 15

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 71 · 71:15

أَلَمْ تَرَوْا۟ كَيْفَ خَلَقَ ٱللَّهُ سَبْعَ سَمَٰوَٰتٍ طِبَاقًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwani hamwoni jinsi Mwenyezi Mungu alivyoziumba mbingu saba kwa matabaka?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwani hamwoni jinsi Mwenyezi Mungu alivyo ziumba mbingu saba kwa matabaka?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70