caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Nooh, Aya 16

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 71 · 71:16

وَجَعَلَ ٱلْقَمَرَ فِيهِنَّ نُورًا وَجَعَلَ ٱلشَّمْسَ سِرَاجًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa akaufanya mwezi ndani yake uwe nuru, na akalifanya jua kuwa taa?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa akaufanya mwezi ndani yake uwe nuru, na akalifanya jua kuwa taa?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70