وَأَمْطَرْنَا عَلَيْهِم مَّطَرًا فَٱنظُرْ كَيْفَ كَانَ عَٰقِبَةُ ٱلْمُجْرِمِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukawanyeshea mvua. Basi tazama jinsi ulivyokuwa mwisho wa wahalifu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukawamiminia mvua. Basi tazama jinsi ulivyo kuwa mwisho wa wakosefu.