caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 83

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:83

فَأَنجَيْنَٰهُ وَأَهْلَهُۥٓ إِلَّا ٱمْرَأَتَهُۥ كَانَتْ مِنَ ٱلْغَٰبِرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi tukamwokoa yeye na ahali zake, isipokuwa mkewe, alikuwa miongoni mwa walioangamia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi tukamwokoa yeye na watu wake, isipo kuwa mkewe, alikuwa miongoni mwa walio bakia nyuma.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70