caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 7

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:7

فَلَنَقُصَّنَّ عَلَيْهِم بِعِلْمٍ وَمَا كُنَّا غَآئِبِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterTena hakika tutawasimulia kwa elimu. Wala Sisi si kwamba hatukuwepo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniTena tutawasimulia kwa ilimu; wala Sisi hatukuwa mbali .
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70