caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 6

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:6

فَلَنَسْـَٔلَنَّ ٱلَّذِينَ أُرْسِلَ إِلَيْهِمْ وَلَنَسْـَٔلَنَّ ٱلْمُرْسَلِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika tutawauliza wale waliotumiwa Ujumbe, na pia hakika tutawauliza hao Wajumbe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kwa yakini tutawauliza wale walio pelekewa Ujumbe, na pia tutawauliza hao Wajumbe.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70