وَلَا يَسْتَطِيعُونَ لَهُمْ نَصْرًا وَلَآ أَنفُسَهُمْ يَنصُرُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala hawawezi kuwanusuru wala wao wenyewe hawajinusuru.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala hawana uwezo wa kuwanusuru wala wenyewe hawajinusuru.