وَإِن تَدْعُوهُمْ إِلَى ٱلْهُدَىٰ لَا يَتَّبِعُوكُمْ سَوَآءٌ عَلَيْكُمْ أَدَعَوْتُمُوهُمْ أَمْ أَنتُمْ صَٰمِتُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mkiwaita kwenye uongofu, hawawafuati. Ni mamoja kwenu ikiwa mtawaita au mkae kimya.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mkiwaita kwenye uwongofu, hawakufuateni. Ni mamoja kwenu ikiwa mtawaita au mkinyamaza.