أَيُشْرِكُونَ مَا لَا يَخْلُقُ شَيْـًٔا وَهُمْ يُخْلَقُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAti wanashirikisha kisichoumba kitu, hali ya kuwa wao wanaumbwa?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAti wanawafanya viumbe kuwa ni washirika wa Mwenyezi Mungu, nao hawaumbi, bali wao ndio wanaumbwa?