قَالَ ٱلْمَلَأُ مِن قَوْمِ فِرْعَوْنَ إِنَّ هَٰذَا لَسَٰحِرٌ عَلِيمٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema waheshimiwa kutoka katika kaumu ya Firauni, "Hakika huyu ni mchawi ajuaye vyema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema waheshimiwa wa kaumu ya Firauni: Hakika huyo ni mchawi mjuzi.